
__
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda walipongeza makubaliano hayo yenye lengo la kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa katika eneo hilo.

Ijumaa, 5 Desemba 2025 saa 03:12:16
Hii ina maana kwamba vipimo vya ziada vinahitajika ili kubaini ikiwa kuna chanzo cha kibiolojia.

Ijumaa, 5 Desemba 2025 saa 03:37:06
Ligi Kuu ya Saudia bado iko katika nafasi ya kufadhili uhamisho wa Mohamed Salah endapo mshambuliaji huyo wa Misri ataamua kuondoka Liverpool.

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 15:27:19
Marekani imesema kuwa inatathimini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji ya raia wengi wakati wa uchaguzi mkuu wa hivi karibuni.

__
Putin alituma makumi ya maelfu ya wanajeshi nchini Ukraine mnamo Februari 2022 baada ya miaka minane ya mapigano kati ya watu wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi na wanajeshi wa Ukraine katika eneo la Donbas.

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 07:53:53
Viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wako tayari kusaini makubaliano ya amani yanayolenga kumaliza mzozo wa muda mrefu katika eneo hilo.

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 13:22:03
Viwanda vidogo vya kusafishia mafuta nchini Chinma vimekuwa wanunuzi wakuu wa mafuta ghafi ya Iran.

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 11:13:02
Chombo cha tatu cha kubeba ndege cha China, ambacho kilianza kuhudumu mnamo Novemba 2025, kitapita watangulizi wake wawili, wataalam wanasema, na kuifanya Beijing kukaribia kuafikia lengo lake la changamoto ya kutawala kwa Marekani katika eneo la magharibi la Pasifiki.

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 03:06:34
Mazingira mengine ya tukio hilo yameibua maswali, huku Waziri Mkuu wa Senegal Ousmane Sonko na Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan wakiungana na wengine wanaoamini kuwa kutwaa madaraka huko kulipangwa na Embaló mwenyewe.

Jumatano, 3 Desemba 2025 saa 09:35:45
“Marekani wanaleta athari kubwa kiuchumi kwa nchi ya Somalia kwa sababu wanaipa serikali ruzuku… wamekuwa na athari kubwa kwetu kiuchumi, kijamii na kisiasa”, Dkt. Shafi Sharif Mohamed, mtafiti wa Mogadishu, ameiambia BBC Somali.

Jumatano, 3 Desemba 2025 saa 05:42:54
Tovuti rasmi ya Mahakama nchini Tanzania, inaonesha kuwa kesi hiyo itatajawa kwa mara ya kwanza Alhamisi wiki hii ya Disemba 4, 2025

Jumatano, 3 Desemba 2025 saa 09:35:45
“Marekani wanaleta athari kubwa kiuchumi kwa nchi ya Somalia kwa sababu wanaipa serikali ruzuku… wamekuwa na athari kubwa kwetu kiuchumi, kijamii na kisiasa”, Dkt. Shafi Sharif Mohamed, mtafiti wa Mogadishu, ameiambia BBC Somali.

Jumatano, 3 Desemba 2025 saa 02:54:13
Katika dhana ya ubeberu, kuna pia neno la “vibaraka” watu wanaotumika au wanaoonekana kutumika na masilahi ya mataifa makubwa yanayotajwa ya mabeberu.

Jumanne, 2 Desemba 2025 saa 13:50:17
Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, ambayo ilichukua takribani saa moja, iligusa masuala kadhaa kuzungumza maandamano ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi ambayo BBC imeyachambua kupata hoja sita kubwa

Jumanne, 2 Desemba 2025 saa 10:30:32
Akizungumza na wazee wa Dar es Salaam, Rais Samia alisema nguvu iliyotumika na vyombo vya dola ilikuwa ya lazima kulinda amani na kuzuia kile alichokitaja kama jaribio la kuvuruga utulivu wa nchi na mapinduzi.

Jumatatu, 1 Desemba 2025 saa 14:15:18
Jaji Othman Chande alisema uchunguzi utafanyika zaidi katika maeneo yaliyoathirika na ghasia Tanzania, lakini pia tume itakusanya ushahidi kutoka maeneo ambayo hakukuwa na matukio ili “kuelewa tofauti za mazingira na sababu

__
Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, leo amekutana na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania.

Ijumaa, 28 Novemba 2025 saa 03:29:33
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya umedumu kwa miongo kadhaa, ukijengwa juu ya misaada, mikopo nafuu, ushirikiano wa kibiashara na miradi ya mageuzi ya kiuchumi na kijamii.

Alhamisi, 27 Novemba 2025 saa 15:34:34
Hatahivyo, jukumu kuu la kusitisha ama kuendelea kuifadhili Tanzania lipo mikononi mwa kamisheni hiyo ya umoja wa Ulaya.

Jumatano, 26 Novemba 2025 saa 09:22:10
Idadi ya vifo, miili kutopatikana, tuhuma za kaburi la halaiki, utekaji, uhuru wa habari na madai ya hujuma za kiuchumi yalikuwa maeneo yaliyogusiwa na kujibiwa na Waziri Mkuu

__
Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za binadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza rais wa Tanzania, na serikali yake kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Jumanne, 25 Novemba 2025 saa 03:28:54
Kwa takribani wiki moja sasa, mijadala ya udini imechukua nafasi kubwa katika mazungumzo ya mtandaoni nchini Tanzania, kufuatia matamko ya baadhi ya viongozi wa dini kuhusu maandamano na mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

__
Serikali ya Tanzania, imedai kuwa maandamano yaliyosababisha maafa mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa hilo, yalipangwa na kudhaminiwa na watu wenye nia mbaya na maslahi ya taifa hilo.

Jumatatu, 24 Novemba 2025 saa 02:54:30
Ripoti ya taasisi ya utafiti na maarifa ya Tricontinental imeweka bayana mambo saba yanayozungumzia harakati za kisiasa za Gen Z na namna wanavyoonesha na kuwasilisha malalamiko na hasira zao.

Alhamisi, 20 Novemba 2025 saa 09:29:21
Rais Samia hakukubali wala kupinga hoja ya kuundwa kwa tume ya kimataifa, bali alisisitiza kuwa tume ya ndani iwe ya kwanza kufanya kazi ili timu zitakazokuja kutoka nje zishirikiane na watoa taarifa waliokwishaanza uchunguzi.

Jumapili, 23 Novemba 2025 saa 12:01:03
Msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amevikosoa vyombo vya habari vya nje akivitaka kufuata maadili ya habari.

Jumanne, 18 Novemba 2025 saa 11:17:33
Rais Samia alisema kuwa uchumi wa Tanzania bado unategemea kwa kiwango kikubwa mikopo ya nje, na kwamba sintofahamu ya kisiasa iliyojitokeza inaweza kurudisha nyuma jitihada za kusaka fedha nje

Jumatatu, 17 Novemba 2025 saa 08:21:01
Umoja wa Mataifa unasema mama ya watu waliuawa kwenye maandamano. Video tulizothibitisha zinaonyesha polisi walitumia nguvu kubwa katika katika harakati za kuzima maandamano hayo.

Jumatatu, 17 Novemba 2025 saa 16:37:46
Maandamano ya siku 3 kuanzia Oktoba 29 , 2025 siku ya uchaguzi, yameacha alama kubwa inayoashiria mpasuko mkubwa wa kisiasa nchini humo.

Jumanne, 2 Desemba 2025 saa 03:14:25
Katika hali isiyo ya kawaida, Shirika la Utangazaji la Iran (IBRC) lilitoa video za mashambulizi ya Israel dhidi ya kituo cha udhibiti wa ulinzi wa anga na kituo cha ulinzi cha jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Jumatatu, 1 Desemba 2025 saa 07:32:54
Mamlaka ya Georgia ilisema kwamba matokeo ya uchunguzi wetu ni “upuuzi” na kwamba polisi walitenda kisheria kama jibu kwa “matendo haramu ya wahalifu wenye ukatili.”

Jumatatu, 1 Desemba 2025 saa 09:47:49
Masharti mapya yanaweza kuongeza ucheleweshaji wa vibali, kufunga milango ya uhamiaji, na kuongeza wasiwasi miongoni mwa familia zilizo katika hatua mbalimbali za maombi ya kadi kijani ‘Green Card’.

Alhamisi, 27 Novemba 2025 saa 03:33:54
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita mjini The Hague ICC imetakiwa kuchunguza madai ya mauaji ya watu wengi wakati wa msako mkali wa maandamano wakati wa uchaguzi nchini Tanzania mwezi uliopita

Jumamosi, 29 Novemba 2025 saa 10:08:58
Umoja wa Mataifa (UN) inakadiria zaidi ya wanawake 818 milioni duniani wamepitia ukatili wa kimwili au kijinsia idadi inayokaribia idadi ya watu wote wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.

__
Netanyahu amekuwa akikabiliwa na kesi kwa miaka mitano iliyopita kwa tuhuma za hongo, ulaghai na uvunjaji wa uaminifu kuhusiana na kesi tatu tofauti.

Alhamisi, 27 Novemba 2025 saa 05:16:56
Bunge la Ulaya leo Novemba 27, 2025 litajadili azimio linalohusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025 siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi nchini Tanzania, haki za binadamu, ikiwemo kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu.

Alhamisi, 27 Novemba 2025 saa 12:08:10
Huku mashindano ya ligi ya mabingwa yakielekea katika raundi ya moandoano jumla ya mechi 18 zilichezwa siku ya Jumanne na Jumatano.

Jumatatu, 24 Novemba 2025 saa 04:54:08
Siku mbili baada ya sare ya kustaajabisha ya The Gunners dhidi ya Sunderland kuwapa wapinzani wao wa Ligi Kuu matumaini mapya, ushindi wa Jumapili dhidi ya Tottenham umewarudisha kwenye kilele.

Jumatatu, 24 Novemba 2025 saa 09:57:45
Huku familia nyingi zikiachwa na kiwewe kutokana na mauaji yanayohusishwa na mila za kichawi nchini Sierra Leone, BBC Africa Eye inachunguza wale wanaofanya biashara ya viungo vya mwili wa binadamu.

Jumatano, 26 Novemba 2025 saa 03:58:44
Katika dunia ambayo zamani ilionekana kutokufikika kwa marais waliomaliza muda wao, mkondo wa haki unaendelea kuwafikia wale waliowahi kushikilia madaraka makubwa.

Jumatatu, 24 Novemba 2025 saa 10:55:18
Wafuasi zaidi ya 33,000 wa Tawana Musaburi kwenye ukurasa wake wa Instagram wanaweza kudhani kuwa wanajua kila kitu kuhusu maisha yake, lakini wengi wao hawajaona uso wake.

Jumatano, 19 Novemba 2025 saa 02:57:36
Mwanzoni mwa muhula wa pili wa Trump, kwa mara ya kwanza tangu Urusi ivamie Ukraine kikamilifu, serikali za Marekani na Urusi zilifanya mazungumzo ya ana kwa ana.

Jumanne, 11 Novemba 2025 saa 10:50:37
Mwezi Oktoba, picha zinaonyesha mwanaume akiwa amefungwa mikono na miguu na kuning’inizwa kichwa chini miguu juu kwenye minyororo ya chuma.

Jumatatu, 17 Novemba 2025 saa 05:27:17
Marekebisho kuhusu sifa na hadhi ya Maria hayakulenga kupinga makanisa ya kiinjili, bali kutoa uelewa wazi kuwa Kristo pekee ndiye Mwokozi na Mpatanishi, jambo linalosaidia kuondoa changamoto za kimtazamo wa kitheolojia.

Jumapili, 30 Novemba 2025 saa 04:01:04
Wanasayansi wanaanza kufunua ulinzi huu wa ajabu wa antitoxin na wanatumai kwamba utafiti huu utasababisha matibabu bora ya sumu kwa wanadamu.

Jumanne, 18 Novemba 2025 saa 09:58:37
Trump amekuwa akikabiliwa na uwezekano wa uasi baada ya idadi kubwa ya Wabunge wa Republican kuashiria kuwa watapiga kura kuunga mkono kuachiliwa faili hizo licha ya upinzani wa hapo awali wa rais huyo.

Alhamisi, 13 Novemba 2025 saa 09:58:01
Kwa ujumla, siku za hivi karibuni, matamko kutoka Umoja wa Mataifa yamekuwa yakipuuzwa au kutokuchukuliwa kwa uzito unaostahili.

Ijumaa, 5 Desemba 2025 saa 04:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Ijumaa, 5 Desemba 2025 saa 03:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 04:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 03:29:00
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

Alhamisi, 4 Desemba 2025 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Jumatano, 3 Desemba 2025 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Jumanne, 2 Desemba 2025 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

Jumatatu, 1 Desemba 2025 saa 16:29:30
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki